Tuesday, 2 July 2013

Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.





Hapa walipata nafasi ya kukutana na Familia za walioathirika na tukio hilo la Ugaidi
Pictures courtessy of AP


Add caption



Kwenye album mpya ya Jay z Magna Carta Holy Grail kuna wimbo unaitwa "La Familia" na kwenye hii joint kuna mistari imetafrisiwa kuwa ni dis kwa rapper Lil Wayne. Kama Unakumbuka Jay z alimchana vibaya Birdmen kwenye Joint ya HAM Kwa mistari hii


“I’m like really half a billi nigga, really you got Baby money; Keep it real with niggas, niggas ain’t got my lady money”

Na baadae Lil Wayne alimjibu Jay z kuwa mistari hii


“Talkin ’bout Baby money? I got your baby money; Kidnap your bitch, get that ‘how much you love your lady’ money; I know you fake nigga, press your brakes nigga; I’ll take you out, that’s a date nigga“

Sasa Jay z is back again on it na mistari kutoka kwenye Joint yake mpya, Jay Kasema

“Nigga wanna kidnap wifey, good luck with that bruh; You must gonna hide your whole family, what you think we wearing black for? Ready for that war, ready for that war ready; You ain’t ready yo’, you radio; You ain’t really ready, real nigga chea”
Hili ndilo tukio lingine ambalo limemrudisha Mwanamuziki Justin Bieber kwenye Headlines tena, This tym round, ikiwa ni kutokana na kitendo chake cha kuamua kutoa kiasi cha paundi 125,000, ambazo ni zaidi ya
shilingi 309,000,000 kwaajili ya kubadilisha rangi ya gari yake.


Bieber ameamua kuliweka gari hili rangi sawasawa na na muonekano wa
chui, na habari za uhakika kutoka ndani ya team ya msanii huyu zinasema
kuwa, Staa huyu aliamua kufanya mchongo huu ili kuwezesha gari yake
ku-match na mtoko wake wa 'kichui-chui' aliokuwa amejipanga kushine nao
kwa siku moja.
Hivi ndio gari ya staa huyu inavyoonekana baada ya kufanyiwa mabadiliko.

Monday, 1 July 2013

VIDEO SURGERY, Show mpya ambayo itaanza kuwa published You tube, Mpango na lengo lake kubwa likiwa ni kujenga na kuboresha kazi mbalimbali za videos zinazofanya na wasanii, hususan Music Videos, Kwa kushirikisha wataalam wa Video Production kwa karibu pamoja na maoni ya kwako wewe mkali wetu, tutakuwa tunachambua videos ambazo kwa mwanzo huu tutakuwa tunazichagua sisi na kuhighlight mambo yoote ambayo yamefanyika vizuri katika video hiyo na pia tutakuchana kinomanoma pale ambapo tutakuwa tumeona makosa dhahiri, lengo kubwa likiwa ni kuwachallenge wasanii kufanya kazi bora zaidi kwa mashabiki wao.
Kama sehemu ya matukio ua utangulizi kuelekea ufunguzi wa tukio kubwa kabisa la tuzo za BET ambazo zitatolewa leo huko Marekani, Mastaa mbalimbali wamepata nafasi ya kukutanishwa kwa pamoja na kucheza game ya Bascketball ambapo mwanamuziki maarufu, Chris Brown alikuwa ndio kiongozi wa Team Lime, iliyokuwa inaundwa na Keke Palmer, Shane Mosley, pamoja na Mike Epps, na timu hii ndiyo iliyoshinda kwa pointi 49-43 dhidi ya timu ya wakina Tyga na Soulja Boy - Team Lemon

Baada ya game hii kwisha pia wakali hawa walipata nafasi ya ku-hang na mashabiki wao, kupiga picha na kusaini Autographs;
 

Pia unaweza kutazama video ya tukio hili hapa;


Weasel & Moze - Goodlyf



2 Chains


Brandy




Chris Tucker



Couples - Dwyne Wade na Gabrielle Union




Eve




Jamie Fox




Kevin Hart na Mchumba




Master P, TI




Nelly



Snoop Lion na Family




Wiz Khalifa na Baby Mama




Orodha Nzima Ya Washindi Wa BET Awards 2013 Inapatikana Hapa






Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé
Tamar Braxton
Alicia Keys
*Rihanna
Elle Varner
Best Male R&B/Pop Artist
Chris Brown
Bruno Mars
*Miguel
Justin Timberlake
Usher
Best Group
*Macklemore & Ryan Lewis
Mary Mary
Mindless Behavior
Slaughterhouse
The Throne (Kanye West and Jay-Z)
Best Collaboration
2 Chainz (featuring Drake) - "No Lie"
*A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) - "F---in' Problems"
French Montana (featuring Rick Ross, Drake and Lil Wayne) - "Pop That"
Kendrick Lamar (featuring Drake) - "Poetic Justice"
Justin Timberlake (featuring Jay-Z) - "Suit & Tie"
Kanye West (featuring Big Sean, Pusha T and 2 Chainz) - "Mercy"
Best Male Hip Hop Artist
2 Chainz
A$AP Rocky
Drake
Future
*Kendrick Lamar
Best Female Hip Hop Artist
Azealia Banks
Eve
*Nicki Minaj
Rasheeda
Rye Rye
Video of the Year
2 Chainz (featuring Drake) - "No Lie"
A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) - "F---in' Problems"
*Drake - "Started From the Bottom"
Drake (featuring Lil Wayne) - "HYFR"
Kendrick Lamar (featuring Drake) - "Poetic Justice"
Macklemore & Ryan Lewis (featuring Wanz) - "Thrift Shop"
Miguel - "Adorn"
Rihanna - "Diamonds"
Justin Timberlake (featuring Jay-Z) - "Suit & Tie"
Kanye West (featuring Big Sean, Pusha T and 2 Chainz) - "Mercy"
Video Director of the Year
A$AP Rocky and Sam Lecca
*Benny Boom
Director X
Dre Films
Hype Williams
Best New Artist
Azealia Banks
Joey Bada$
*Kendrick Lamar
Trinidad Jame$
The Weeknd
Best Gospel Artist
Deitrick Haddon
Lecrae
Tamela Mann
*Mary Mary
Marvin Sapp
Best Actress
Angela Bassett
Halle Berry
Taraji P. Henson
Gabrielle Union
*Kerry Washington
Best Actor
Don Cheadle
Common
*Jamie Foxx
Samuel L. Jackson
Denzel Washington
YoungStars Award
*Gabrielle Douglas
Jacob Latimore
Keke Palmer
Jaden Smith
Quvenzhané Wallis
Best Movie
"Beasts of the Southern Wild"
"Django Unchained"
"Something From Nothing: The Art of Rap"
"Sparkle"
*"Think Like a Man"
Subway Sportswoman of the Year
*Gabrielle Douglas
Brittney Griner
Candace Parker
Serena Williams
Venus Williams
Subway Sportsman of the Year
Victor Cruz
Kevin Durant
Robert Griffin III
*LeBron James
Ray Lewis
Coca-Cola Viewers' Choice Award
A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) - "F---in' Problems"
*Drake - "Started From the Bottom"
Kendrick Lamar - "Swimming Pools (Drank)"
Miguel - "Adorn"
Rihanna - "Diamonds"
Justin Timberlake (featuring Jay-Z) - "Suit & Tie"
Centric Award
*Tamar Braxton - "Love and War"
Fantasia - "Lose to Win"
Miguel - "Adorn"
Nas - "Daughters"
Charlie Wilson - "My Love Is All I Have"
Best International Act: Africa
2Face Idibia (Nigeria)
Toya Delazy (South Africa)
Donald (South Africa)
*Ice Prince (Nigeria)
R2Bees (Ghana)
Radio and Weasel (Uganda)
Best International Act: UK
Marsha Ambrosius
Estelle
Labrinth
Rita Ora
*Emeli Sandé
Wiley
 
Ni Msanii anaye Roll na Rapper Young Dee na kwenye video nyingi za Dee unamuona Huyu Jamaa, Pia ameshirikishwa kwenye wimbo wa Dada Anaolewa. Anaitwa SajuKong'ki Aka Said Jumanne Kong'ki. Single imetengenezwa na Producer Max.


Wednesday, 26 June 2013

Watu wengi wametoa maoni yao kuhusiana na jina alilopewa mtoto wa kike wa lovebirds Kanye West na TV star Kim Kardashian ‘North West’ na wengi wao wameonesha kutolifurahia sana jina hilo na kila mmoja amekuwa na sababu ya mtazamo wake, lakini sababu ya wapenzi hao kumwita mtoto wao jina hilo imefahamika.
Kim-Kardashian-and-Kanye-West
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na couple hiyo, wazazi hao wapya (Kanye na Kim) wameiambia familia yao kuwa jina North West kwao lina maanisha “highest power” (uwezo wa juu kabisa). “North is the most high. There is nothing higher than North. And, when it comes to the stars, the sun rises in the East and sets in the West,” chanzo hicho kiliuambia mtandao wa E! News.
Chanzo hicho kiliendelea kusema “look at her as being their highest point together. Nothing is more special than North. Kim keeps saying, ‘She is our North Star,’ ”
Ujio wa Baby North duniani umeongeza kitu kikubwa katika mapenzi ya Kanye West na Kim Kardashian ambao mwezi (September) wanategemea kufunga ndoa jijini Paris baada ya Kanye kutangaza ndoa kwa Kim hivi karibuni

Sunday, 23 June 2013

Mchanaji kutoka Toronto Canada, Drake wa Young Money ametangaza rasmi tarehe ya kutoka kwa album yake mpya ya Nothing Was The Same kuwa Itapatikana mtanii September 17 2013 na hizi single Nne "Jodeci Fresstyle" ft J. Cole, "The Motion"ft Sampha, Migos' , "Versace" na "Over Here" zipo kwenye album

manizolnewz.blogspot.com
Shabiki wa Jay Z ni mtu anaye fatilia kila analo fanya Jay kwenye mziki na maisha yake, well jamaa katoa orodha ya nyimbo zitakazo patikana kwenye album yake mpya Magna Carta Holy Grail. Kwa mujibu wa rapradar nakupa nafasi ya kuziona hapa sammisago.com,
Mpaka sasa producers wanaojulikana kuhusishwa kwenye hii cd ni Timbaland, Swizz Beatz, Rick Rubin, na Pharrell. Wasanii walioshirikishwa bado kutajwa. Album ipo mtaani July 4 2013. Orodha hii imepatikana kwenye vipeperushi vinavyo sambazwa kama promotion.


1. Picasso Baby
2. Heaven
3. Versus
4. Tom Ford
5. Beach Is Better
6. FuckWithMeYouKnowIGotIt
7. Oceans
8. F.U.T.W.
9. Part II (On The Run)
10. BBC
11. La Familia
12. Jay-Z Blue
13. Nickles & Dimes

Saturday, 22 June 2013

CD Mpya ya Big Sean Itaitwa Hall Of Fame na ametangaza rasmi kuwa itatoka August 27 2013 kupitia Def Jam Records Na G.O.O.D. Music. Orodha ya ngoma kwenye cd Iko Hapa 
1. Fire
2. World Is Ablaze
3. Switch Up (Ft. Common)
4. Untitled (Ft. Lil’ Wayne)
5. Fuck My Money Up (Ft. SAYITAINTTONE)
6. Milf (Ft. Juicy J)
7. Nothing Is Stopping You
8. First Chain (Ft. Nas & Kid Cudi)
9. Sierra Leone
10. Ashley
11. Untitled (Ft. Kanye West)
12. All Figured Out

Mariah Carey yupo mbioni kukamilisha album yake mpya itakayo kuwa na muonekano mpya kabisa kuhusu yeye. This time amewakutanisha wakali Young Jeezy na Producer Mike Will iLL kwa ajili ya joint mpya kwenye cd hio. Fahamu kuwa tayari anangoma na Miguel Inaitwa Beautiful pia itakuwepo kwenye album yake ya The Art Of Letting Go Inayotoka July 23 2013.
Kim na Kanye-Kuwa Nguvu Na Kuboresha Na Wewe ni kidogo msichana itakuwa faini tu

Kama Kaskazini ina upendo wa wazazi na kuunga mkono kama nyinyi, itabidi kutoa wake hisia kali ya usalama na kujithamini anahitaji shrug off watoto maana na vijana kama yeye inakua juu.

Hivyo, Kim na Kanye, umechagua jina kawaida sana kwa msichana mpenzi wako kidogo. Lakini kama wewe upendo, na upendo wake na basi yake kujua kwa nini alichagua jina hili maalum kwa ajili yake, yeye anapaswa kukua upendo na kuthamini jina yake - bila kujali kile mtu mwingine yeyote anadhani
Rapper Drake kutoka Toronto, Canada ni mmoja kati ya watu waliofurahia ushindi wa timu ya Miami Heat waliochukua ubingwa wa NBA 2013 Alhamisi (June 20), na katika jitihada zake za kutaka kuwapongeza aliamua kuuweka ustaa kando na kuongozana na waandishi wa habari kuelekea mlango wa chumba cha kubadilishia nguo wachezaji akijifanya naye ni mwandishi lakini walinzi wakampiga STOP!



Aubrey Drake Graham a.k.a Drake ambaye alikuwa na lengo la kuingia katika chumba cha Miami Heat kwenda kumpa pongezi swahiba wake LeBron James na wachezaji wengine wa Miami, alijikuta akizuiwa na walinzi sababu hakuwa na kibali maalum (media pass).

Kwa mujibu wa Aceshowbiz, mwandishi wa HOOPSWORLD aliyekuwa miongoni mwa waandishi walioongozana na Drake, alitweet akisema kuwa baada ya Drake kuzuiwa na walinzi hao aliwaambia kuwa yeye ni mwandishi wa habari ili wamruhusu!! “Drake was just stopped by security. He tried getting in the locker room without media pass, Drake tried his luck by saying, “I am media.”

Mwandishi mwingine wa Sun-Sentinel naye alitoa maelezo yaliyofanana na hayo “I got in the locker room [and] Drake was denied access,”.

Lakini inavyoonekana hit maker wa ‘Started From The Bottom’ hakukata tamaa ya kuungana na washindi hao wa NBA katika After Party iliyofanyika baadaye usiku huo (June 20) huko South Beach na kuperform hit song yake ‘Started From The Bottom’.
Mwimbaji kutoka Tanzania House of Talent (THT) Barnabas Elias maarufu kama Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajiri ya leo jijini Dar es salaam.



Taarifa zilizothibitishwa na rafiki wa karibu na msanii mwenzake Amini , zinasema mama yake Barnaba amefariki nyumbani kwake alfajiri ya leo Jumamosi (June 22) kutokana na presha.

Tunawapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na familia ya Barnaba ambao wako katika kipindi hiki kigumu na Mungu alizae mahala pema roho ya marehemu, Amen.
Dimond Platnumz na crew yake ya Wasafi wamewasili nchini Comoro jana jioni tayari kwa makamuzi ya show itakayofanyika leo Jumamosi (June 22).
Kupitia website yaye Platnumz ameweka picha za mapokezi yake na Wasafi jana jioni walipowasili Comoro
Comoro1
Comoro2
Comoro3
Comoro4
Diamond Comoro interview
Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo cha TV cha Comoro


Yapo maneno ama jumbe ambazo tunaweza kuziacha ziende, lakini ujumbe ambao unaonekana kugusa sehemu ya maisha ya binadamu hasa mtanzania lazima kuhakikisha unamfikia mtanzania moja kwa moja. 

Starehe hupunguza stress na kuongeza uwezo wa kucheka na kutabasamu na kujisahaulisha maisha magumu tunayoishi wengi wetu, lakini starehe isiyochukua tahadhari kabla ya hatari  inayoweza kuchukua maisha yetu kirahisi au kupoteza nguvu kazi ya Taifa, haifai hata kiduchu.
Matumizi ya madawa ya kulevya(unga) yanalipukutisha taifa letu, vijana wengi sana wanazama humo na bahati mbaya 99% wakishazama hawatoki. Wasanii wengi akiwemo marehemu Langa, Kikosi cha Mizinga n.k wameonesha ari ya kueneza elimu kuwaokoa vijana wenzao wasiusiguse kabisa Unga .
Lady Jay Dee ‘Anaconda’ anaungana nao kwa style ya aina yake, yeye ameamua kutumia maneno ya kawaida sana kufikisha ujumbe mzito, na of course amejaribu kutaja kiwango cha juu cha starehe iliyopitiliza na kuvuka mipaka ya ustaarabu na kusema bora hiyo kuliko kutumia madawa ya kulevya.
“Tunyweni pombe mpk tujimwagie jamani lakini unga!! Majanga, una poteza mwelekeo unajiona na kurudi nyuma inaweza kuwa story tu.”Ametweet Lady Jay Dee.
Usiichukulie poa, hii inakuhusu wewe…na mimi..na yule.

Friday, 14 June 2013

Diamond Platnumz amelishukia Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA kuwa linaurudisha nyuma muziki wa Tanzania kutokana na kutoruhusu kuanzishwa kwa tuzo zingine za muziki nchini tofauti na Kilimanjaro Music Awards.



Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM leo, Diamond amesema hatua hiyo inamfanya ahisi kuna kitu kimejificha ndani ya baraza hilo.

“Kwanini Tanzania tuna tuzo moja, ni kitu ambacho kinanisikitisha sana kwasababu ukiangalia hata nchi zingine ni ndogo sisi tumewazidi kimuziki lakini zina tuzo zaidi ya moja,” alihoji Diamond.

“Sijui BASATA kuna nini kinaendelea.”

Amesema kungekuwepo na tuzo za aina mbalimbali za muziki nchini, kungekuwa na changamoto chanya kwa waandaji wa tuzo hizo kuliko hivi sasa ambapo KTMA haina mpinzani.

“Kukiwa na tuzo tofauti hawa watajifunza kupitia wale, lakini kitu kikiwa kimoja kila siku vinapelekwa tu.”

Kwa upande mwingine Diamond amesema baada ya nominations za Kili kutoka, hakuweza kuongea chochote kwakuwa aliona aliwekwa kwenye vipengele ambavyo hakustahili.

“Ukitazama kabisa kama sikuwa katika category yeyote naweza vipi kuwa msanii bora wa kiume, kwa kigezo kipi,” alihoji.

“Sasa unaniambia mimi sina sifa ya kuwa mbunge, diwani, waziri, sina sifa hizo halafu ukanishindanisha urais sasa ntashinda vipi kama huko mwanzo tu siwezi.” “Nikaona you know what bora nipige zangu kimya sikutaka kuongea kwasababu hawachelewi kukutafsiri vingine, ndio maana sikuwepo siku zile, kiukweli kabisa.
Mazishi ya rapper Langa Totty M Kileo yanatarajiwa kufanyika Jumatatu ijayo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Langa alifariki jana jioni baada ya kulazwa katika hospitali ya Kinondoni na kisha kuhamishimwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na Malaria pamoja na homa ya uti wa mgongo, Meningitis. Langa Kile alizaliwa December 23, 1985. Mungu ailaze mahali pepa roho ya marehemu

 
“Kifo cha Ngwair, kilivuta makundi mbalimbali kushiriki kwa hali na mali kuchangia na kumzika, taifa lilizizima mkoa kwa mkoa, mguso huo wa kitaifa aliokuwa nao mwanamuziki huyo, Ommy hakuuona, isipokuwa akanena: ‘Sitaki kufa maskini kama Ngwair’ limeandika gazeti hilo.

Ommy amekanusha kusema kauli hiyo na kudai kuwa habari hiyo imeandikwa baada ya kushindwa kuelewana malipo ya show waliyomtaka akatumbuize.

“Watu wa Global Publisher wana tamasha lao la Matumaini, kwahiyo wakanipigia simu wakataka nifanye nao show kwahiyo tukawa tunabargain kuhusu bei. Wakati tunabargain kuhusu bei nikawa nimewaambia kwamba mimi nahitaji kiasi fulani, tukabishana bishana, mwisho wa siku hatukuafikiana. Baada ya pale wakakata simu, matokeo yake limekuja kutoka hilo gazeti,” amesema Ommy.

Ameongeza kuwa gazeti hilo limetumia kauli aliyoisema siku ya KTMA 2013 aliposema kuwa amechoka kuona wasanii wanakufa maskini wakati kuna makampuni mengi yanayoweza kuwapa mikataba na kufanya nao kazi ili wawe na maisha mazuri.

“Kwa mtu anayenifahamu kama Ommy na watu ambao wamefanya kazi na mimi wananielewa vizuri lakini ukiangalia habari yao nzima imekaa katika misingi ya kiuchochezi. Wao wameamua kinichafua sababu tulikuwa tupo kwenye mazungumzo ya kibiashara na hatukuafikiana.”

Ameongeza kuwa wakati wamempigia simu mara ya pili walikuwa wakimuuliza maswali ili kutengeneza majibu ya kumchafua baadaye.

“Kwanza mimi ni muislamu, najua hata maiti akishakufa jinsi ya kumuongelea kwahiyo wao walikuwa wananitengenezeshea kauli. Nikasema hapana, mimi nilichozungumza ni kwamba kama kweli tunataka tuendelee na hii sanaa basi ninyi pia muwe mifano mizuri ya kutulipa vizuri kwasababu tunatumia nguvu nyingi kuinvest.” Kwa upande wa Mkurugenzi mkuu wa Global Publisher, Abdallah Mrisho amekanusha kuwa gazeti la Ijumaa halijaandika habari hiyo kwa nia ya kumchafua ama kumkomoa Ommy baada ya kushindwa kuafikiana bei ya kumlipa kwenye tamasha la Matumaini. Mrisho amesema tamasha la Matumaini linaandaliwa na menejimenti tofauti ambayo haihusiani na masuala ya editorial

Sunday, 9 June 2013

Hitmaker Diamond Platnumz jana hakuweza kuhudhuria tuzo za Kili licha ya kushinda tuzo mbili kubwa zilizopokelewa na watu wengine kwa niaba yake. Diamond amezungumza na kueleza sababu iliyomsababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo zake mwenyewe.




Amesema alishindwa kwenda kwenye kilele cha tuzo hizo kubwa nchini zilizotolewa jana kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwakuwa alitakiwa kwenda kwenye uzinduzi wa kinywaji kipya cha kampuni ni ya Cocacola, kiitwacho Novida uliofanyika jana usiku kwenye mgahawa wa Akemi uliopo kwenye jengo la Golden Jubelee, jijini Dar.



Amesema akiwa kama balozi wa Cocacola ilikuwa ni lazima ahudhuria uzinduzi huo. Diamond alishinda tuzo mbili ikiwemo kubwa ya msanii bora wa kiume.Msikilize zaidi hapa ambapo anawashukuru pia waliompigia kura